Tumia email na password uliyopewa ili kufungua kozi zako.
Huna akaunti? Wasiliana na KitengoAI Support.Hatua yako inayofuata ni kuunganisha WhatsApp Cloud API na n8n.
Lesson 4.3 β Kupokea Message kupitia Webhook
AI Agent, automation, workflows, n8n, Google Cloud na WhatsApp API.
Unganisha WhatsApp, AI model, prompt na business knowledge.
Tuma media, tuma notification, kabidhi mazungumzo na kamilisha agent.
Jenga WhatsApp AI Agent inayopokea ujumbe, inaelewa, inajibu na kumjulisha binadamu inapohitajika.
Soma maelekezo ya kutumia kozi kabla ya kuanza Module 01. Sehemu hii haina video na haihesabiwi kwenye progress ya lessons.
Katika lesson hii utaunganisha WhatsApp na n8n ili kila ujumbe mpya uingie moja kwa moja kwenye workflow yako.
Tumia test number kwanza. Production number tutaunganisha kwenye Level 3 baada ya error handling na security.
Fungua lesson yoyote uone mwongozo wa kurekodi video kupitia ScreenPal.
Fungua lesson kuona mwongozo wa recording.
Nyota na maoni yaliyotolewa baada ya wanafunzi kukamilisha kozi.